Ni mtangazaji gani wa TV au Redio unayevutiwa naye?

Ni mtangazaji gani wa TV au Redio unayevutiwa naye?

mankizzo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
247
Reaction score
116
Kuna watangazaji wanavutia kuwasikiliza au kuwatazama pindi wanapokuwa wanatoa taarifa au kuongelea jambo fulani.

Kwa upande wangu hawa nawakubali sana, Kuvichaka #Jabilsaleh wa EFM na TV E na Ezden.

Jamaa hawa ni noma, japo Ezden kwasasa sijui yupo wapi.

Tupe wengine.

Screenshot_20221202-002840.png
Screenshot_20221202-002657.png
 
Ivona Kamuntu, hivi yupo bado Azam sijamuona muda mrefu kiasi. Na kuna kale kengine huwa kanakuwa kwenye kipindi cha asubuhi kile anahoji hoji watu ni karembo fulani hivi
 
Maulidi Kitenge anavyosoma magazeti, anavyopayuka kwa sauti, anavyoikoleza habari.

Utani utani wake huwa nafurahi sana, kwa watangazaji Serious wapo TBC
 
Hilda Foya - UTV channel 108
Monita Rajpal -Former CNN anchor
 
Ivona Kamuntu, hivi yupo bado Azam sijamuona muda mrefu kiasi. Na kuna kale kengine huwa kanakuwa kwenye kipindi cha asubuhi kile anahoji hoji watu ni karembo fulani hivi
Kamuntu Yuko utv.
Utamuona humo akisoma habari saa 2 usiku.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Emilius Lazarius sijui sikuhz yupo wapi .....alikimudu sana kipindi cha Buzuki time pale Capital Radio akitafsiri nyimbo za kikongo
 
Adam mchomvu
Jonijoo
Yule demu wa refresh ya wasafi tv
 
Back
Top Bottom