Ni mtazamo tu juu ya skendo hii ya karne

Joshua justine

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
792
Reaction score
1,015

Naona kuna uwezekano haya ni mambo ya ndani sana ambayo pia msela alishaifahamu. inaonekana bomu hili lilizimwa kiutuzima na watu wengi kuficha heshima ya kanisa lao na jamaa yao kiongozi.

Sasa wakaamua kwamba bora dogo apewe mke aozwe pale kanisani ili atulie wakidhani watakuwa wamefunika watu lisijekuwafikia, lahaula lakwata! Baada ya ndoa dogo anaendelea kuuwasha moto wa mapenzi, ndiyo tumeyajua tuliyoyajua yote hadharani.

Ndiyo maana imekuwa rahisi msela kusamehe fasta na kutopata mshangao tuliyodhani angepata kwa kawaida, maana mkeo na msaidizi wako ni mshangao mara mbili!

Angekuwa halijui hili angekufa kwa presha! Pia hiyo video inaonesha msongo wa mawazo tu katika wanandoa na siyo furaha. Wao wakijua nini kilikuwa nyuma hasa marehemu, anafanya kisherehe zaidi na siyo halisi.
 
Duh!

Huu sijui ni uzi wa mia ngapi kuhusu hii ishu ya Masanja na mkewe. Yaani nyuzi zinatiririka kama mvua kila mtu ni mpelelezi.

Polisi wetu wangekuwa siriazi wangefanya uchunguzi wa kina na kila kitu kikaeleweka. Walisema wanaendelea na uchunguzi wao. Ngoja tusubiri labda watakuja na ripoti itakayojibu maswali yote hata yanayoulizwa na wapelelezi wetu wa hapa JF. Kazi sana yaani!
 
Kuna luten mmoja amewahi nambia kamwe usijihusishe na ktu chochote USICHO NA FAIDA NACHO habari za masanja zmekaa kiudaku zaidi ila promo yake n balaaa
 
Sana uzinzi unaua maono ya kanisa
Hata iwe vipi huwezi ita kitu kinachoongozwa na comedian mwenye panic kama masanja Kanisa,kile ni kijiwe cha kupigia hela za mapoyoyo wanaojifariji kwa maneno mepesi mepesi kama eti "FEEL FREE CHURCH".

Unaweza kufafanua japo kwa uchache hilo jina linaakisi vipi ukuaji wa kiimani wa mtu?
 
Binafsi sio muumni wake so siwez pata jibu lakini pia siwezi kuhukumu maana hiyo ni Kazi ya Mungu walio wa kaisar watamfata kaisari na walio wa Mungu watamfuata Mungu
 
Ni feel free church, hakuna mipaka kanisani. Ukiona unaweza lamba mke wa mwenzio,we feel free
 
Duh!

Huu sijui ni uzi wa mia ngapi kuhusu hii ishu ya Masanja na mkewe. Yaani nyuzi zinatiririka kama mvua kila mtu ni mpelelezi.

Polisi wetu wangekuwa siriazi wangefanya uchunguzi wa kina na kila kitu kikaeleweka. Walisema wanaendelea na uchunguzi wao. Ngoja tusubiri labda watakuja na ripoti itakayojibu maswali yote hata yanayoulizwa na wapelelezi wetu wa hapa JF. Kazi sana yaani!
Imeisha iyo boss, hizi nyuzi sasa ni za lala salama.. Kukipambazuka ni siku nyingine na mambo mengine
 
Naona kuna uwezekano haya ni mambo ya ndani sana ambayo pia msela alishaifahamu. inaonekana bomu hili lilizimwa kiutuzima na watu wengi kuficha heshima ya kanisa lao na jamaa yao kiongozi.

Sasa wakaamua kwamba bora dogo apewe mke aozwe pale kanisani ili atulie wakidhani watakuwa wamefunika watu lisijekuwafikia, lahaula lakwata! Baada ya ndoa dogo anaendelea kuuwasha moto wa mapenzi, ndiyo tumeyajua tuliyoyajua yote hadharani.

Ndiyo maana imekuwa rahisi msela kusamehe fasta na kutopata mshangao tuliyodhani angepata kwa kawaida, maana mkeo na msaidizi wako ni mshangao mara mbili!

Angekuwa halijui hili angekufa kwa presha! Pia hiyo video inaonesha msongo wa mawazo tu katika wanandoa na siyo furaha. Wao wakijua nini kilikuwa nyuma hasa marehemu, anafanya kisherehe zaidi na siyo halisi.

Wapinga maendeleo mnaanzisha mauza uza kila kukicha.

Kumbukeni aliyekufa ni mtoto wa familia yao. Wapeni nafasi ya kumuomboleza ndugu yao. Mnavyomsagia haisaidii maana neno la mwisho alishatoa Muliro kuwa marehemu alijiua

Tuelezeni status ya trilion 360
 
Back
Top Bottom