Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Naona kuna uwezekano haya ni mambo ya ndani sana ambayo pia msela alishaifahamu. inaonekana bomu hili lilizimwa kiutuzima na watu wengi kuficha heshima ya kanisa lao na jamaa yao kiongozi.
Sasa wakaamua kwamba bora dogo apewe mke aozwe pale kanisani ili atulie wakidhani watakuwa wamefunika watu lisijekuwafikia, lahaula lakwata! Baada ya ndoa dogo anaendelea kuuwasha moto wa mapenzi, ndiyo tumeyajua tuliyoyajua yote hadharani.
Ndiyo maana imekuwa rahisi msela kusamehe fasta na kutopata mshangao tuliyodhani angepata kwa kawaida, maana mkeo na msaidizi wako ni mshangao mara mbili!
Angekuwa halijui hili angekufa kwa presha! Pia hiyo video inaonesha msongo wa mawazo tu katika wanandoa na siyo furaha. Wao wakijua nini kilikuwa nyuma hasa marehemu, anafanya kisherehe zaidi na siyo halisi.