Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusabahi msukuma![emoji113]Duh!
Huu sijui ni uzi wa mia ngapi kuhusu hii ishu ya Masanja na mkewe. Yaani nyuzi zinatiririka kama mvua kila mtu ni mpelelezi.
Polisi wetu wangekuwa siriazi wangefanya uchunguzi wa kina na kila kitu kikaeleweka. Walisema wanaendelea na uchunguzi wao. Ngoja tusubiri labda watakuja na ripoti itakayojibu maswali yote hata yanayoulizwa na wapelelezi wetu wa hapa JF. Kazi sana yaani!
Ulipotea sana.Nakusabahi msukuma!![]()
Nipo msukuma!! Nimefurahi sana kukuona rafiki! Sikuoni kabisaaa ule uwanja wa Nyumbani sikuhizi!!Ulipotea sana.
Pole kwa ujenzi wa taifa na inafurahisha kwamba umeimaliza hiyo shughuli salama.
Endelea kubarikiwa Boss Lady 🙏🏿🙏🏿