Ni mtazamo tu juu ya skendo hii ya karne

Ni mtazamo tu juu ya skendo hii ya karne

Mwenyewe alikua busy kujigamba
p_6849547063111222393029_0_8cdcf8b71ff37d0274968dae044c500a.jpg
 
Duh!

Huu sijui ni uzi wa mia ngapi kuhusu hii ishu ya Masanja na mkewe. Yaani nyuzi zinatiririka kama mvua kila mtu ni mpelelezi.

Polisi wetu wangekuwa siriazi wangefanya uchunguzi wa kina na kila kitu kikaeleweka. Walisema wanaendelea na uchunguzi wao. Ngoja tusubiri labda watakuja na ripoti itakayojibu maswali yote hata yanayoulizwa na wapelelezi wetu wa hapa JF. Kazi sana yaani!
Nakusabahi msukuma![emoji113]
 
Ulipotea sana.

Pole kwa ujenzi wa taifa na inafurahisha kwamba umeimaliza hiyo shughuli salama.

Endelea kubarikiwa Boss Lady 🙏🏿🙏🏿
Nipo msukuma!! Nimefurahi sana kukuona rafiki! Sikuoni kabisaaa ule uwanja wa Nyumbani sikuhizi!!
I hope all is well with you!!
Uwe na wakati mwema mkuu!!
 
Back
Top Bottom