Ni mtego au?

Ni mtego au?

hamza mahundu

Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
58
Reaction score
116
Demu wangu ni mlokole Jana
Amenambia hatuwezi ku-sex tena hadi tutakapofunga ndoa.

Na ukumbuke mwanzo tuki nyanduana fresh tu.

Nikirelate na hardlife nalopitia now, misoto Mimi sina hela kabsa, nafight job sijapata

Nahisi kama huu ni mtego duhh..

Embu nishaurini
 
Demu wangu ni mlokole Jana
Amenambia hatuwez ku do sex tena Hadi tutakapofunga ndoa.

Na ukumbe mwanzo tuki nyanduana fresh tu.

Nikirelate na hardlife nalopitia now ,misoto Mimi Sina hela kabsa , nafight job sijapata .
Na hisii kama huu ni mtego duhh..

Emb nishaurini
Du bado mnahangaikia mapenzi. Poleni
 
Demu wangu ni mlokole Jana
Amenambia hatuwez ku do sex tena Hadi tutakapofunga ndoa.

Na ukumbe mwanzo tuki nyanduana fresh tu.

Nikirelate na hardlife nalopitia now ,misoto Mimi Sina hela kabsa , nafight job sijapata .
Na hisii kama huu ni mtego duhh..

Emb nishaurini
Mwandiko tu unatosha kuachwa
 
Demu wangu ni mlokole Jana
Amenambia hatuwez ku do sex tena Hadi tutakapofunga ndoa.

Na ukumbe mwanzo tuki nyanduana fresh tu.

Nikirelate na hardlife nalopitia now ,misoto Mimi Sina hela kabsa , nafight job sijapata .
Na hisii kama huu ni mtego duhh..

Emb nishaurini
Ushayakanyaga 😅😅😅inaitwa demons transmit kwa kinyakyusa tafuta mwngn ugawe angalau ishai nkuta ilifk time hata bando lkiish huna hata mia na haijawahg kutokea mm kufulia kama hivo
 
Back
Top Bottom