Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
We njoo utajioneaUtanilisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We njoo utajioneaUtanilisha?
Vitu soft ni ugali na kande 😂Eeh sisi tunakula vitu soft soft😋
Kwanza wana jf si hatulagi mihogo? Itakua mara yangu ya kwanza 😅We njoo utajionea
[emoji23] mkitundikiwa drip za glucose mnazinduka na kudhani mko peponi kutokana na yale makoti na magauni ya manesi [emoji23]Ila lile tendo na njaa sio poa, mnaweza kuzimia katikati ya mechi ujue.
Mpelekwe hospital waseme mna kifafa kumbe hamkula
Subutuu hujawahi kuumwa ile njaa yenyewe wewe mpaka unakunya panadol kupunguza maumivu[emoji23] mbona watibeli tunawasha moto na njaa hivyo hivyo na hakuna kilichotokea
Wana Jf si matajiri, wote wanakula mayai na sausage for breakfast 🤣Kwanza wana jf si hatulagi mihogo? Itakua mara yangu ya kwanza 😅
Panadol inapunguza maumivu ya njaa 😂Subutuu hujawahi kuumwa ile njaa yenyewe wewe mpaka unakunya panadol kupunguza maumivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umenishtua na mihogo 😂Wana Jf si matajiri, wote wanakula mayai na sausage for breakfast 🤣
🤣🤣🤣[emoji23] mkitundikiwa drip za glucose mnazinduka na kudhani mko peponi kutokana na yale makoti na magauni ya manesi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara moja moja tunakula vya asiliNdio umenishtua na mihogo 😂
Hivi ungezimia juu ya mtoto wa watu ungefanyaje🤣Panadol inapunguza maumivu ya njaa 😂
Nikiwa chuo maisha ya pasi ndefu kuna siku nikasema liwalo na liwe na njaa zangu, baada ya hapo kila kitu kililegea, njaa haina mbabe.
Kuzimia nisingeweza, ye mwenyewe alikuwa hoi na njaa nilimnunulia mishkaki miwili wakaniwekea na vichips vya chombeza ndio akala.Hivi ungezimia juu ya mtoto wa watu ungefanyaje🤣
Kuleni na makande 😂Mara moja moja tunakula vya asili
watakuambia mwanaume kujiaminiMtu huna kazi, huna hela hivi hizo nguvu za kuwa na dem mnatoaga wapi mi nikikosa hela madem huwa nawaona kama selemani tu
Kha na akakubali?Kuzimia nisingeweza, ye mwenyewe alikuwa hoi na njaa nilimnunulia mishkaki miwili wakaniwekea na vichips vya chombeza ndio akala.
Watu wana majaribu sanaMtu huna kazi, huna hela hivi hizo nguvu za kuwa na dem mnatoaga wapi mi nikikosa hela madem huwa nawaona kama selemani tu
Nimuoe ili iweje ? Wakati alipata boya anaepika akanikimbiaKha na akakubali?
Huyo ulitakiwa umuoe aisee, maana alirisk maisha yake kwa ajili yako hyo siku 😂