Ni mtego au?

Ni mtego au?

Ukiwapa attention ndio unazidi kuifanya hali yako kuwa mbaya kabisa, kujiamini ni sahihi ila kama huna hela ni bure utaishia kujidhalilisha tu.

Kuna muda ni bora uonekane nyuki wa mashineni huna madhara ila mambo yako yaende kuliko kutaka kuonesha uwezo alafu ukazidi kudidimia kiuchumi.

Wanawake wana gharama, ukijihusisha nao hasa kimapenzi ni lazima ukubali kugharamika.
Kuna vitu vingine vipo wazi kabisa unakuta mtu huna hata mia mbovu bado unaangaika na wanawake hizo gharama za kuandaa show tu mpaka ikamilike wanaume huwa atutaki kuzifikiria maana aziendani kabisa na kile tunachokipokea ila ndio bac tu kichwa chini kikishaamua kimeamua ni lazima kichwa cha juu kifuate. Majuto ni baada ya abdala kichwa wazi kutema cheche
 
Mimi nina mdogo wangu umri wa mleta mada i guess, sasa kuna muda naumia sana hawa madogo kukosa focus.

Kuna muda ni muhimu tuwaambie ukweli na si kwa ubaya.
kama vijana wenyewe ndio hawa akina mtoa mada aisee endeleeni kuringa tu utelezi wenu unathamani kubwa sana kwa wanaume mpaka wenye njaa wanasahau kama wananjaa wanataka utelezi tu
 
Kuna vitu vingine vipo wazi kabisa unakuta mtu huna hata mia mbovu bado unaangaika na wanawake hizo gharama za kuandaa show tu mpaka ikamilike wanaume huwa atutaki kuzifikiria maana aziendani kabisa na kile tunachokipokea ila ndio bac tu kichwa chini kikishaamua kimeamua ni lazima kichwa cha juu kifuate. Majuto ni baada ya abdala kichwa wazi kutema cheche
Baada ya hapo yanaanza majuto na viapo vya kutorudia
 
Back
Top Bottom