fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda dei au Mudau dei 😁yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa
Aisee....Daah lile beki la kulia lingekua fiti ingekua balaa sana pana huyo winger yao ya kushoto inatembea balaa sana...
Kweli wenye akili wawili tu..yaani hujui hata kuandika.yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa
Itapendeza sana na yeye akitupiayanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2944312
Masandawana wanasema kata simu kata simu, tupo site!
Ogopa matapeli, tarehe 30/03 ni Mokoena Day