ni muda dei

ni muda dei

Daah lile beki la kulia lingekua fiti ingekua balaa sana pana huyo winger yao ya kushoto inatembea balaa sana...
 
Screen Shot 2024-03-25 at 2.11.28 PM.png


Masandawana wanasema kata simu kata simu, tupo site!

Ogopa matapeli, tarehe 30/03 ni Mokoena Day
 
yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa
Kweli wenye akili wawili tu..yaani hujui hata kuandika.
yanga...Yanga.
mamelodi....Mamelodi.
muda....Muda.
mkapa....Mkapa.
 
Idea za kipumbavu pumbavu tu,sasa muda day ndio nini??
 
Back
Top Bottom