Ni muda gani naweza kumtongoza binti baada ya kufahamiana?

Ni muda gani naweza kumtongoza binti baada ya kufahamiana?

Inategemea na msichana mwenyewe yupoje yupoje. Mwingine unaweza kukutana nae asubuhi ukamsaundisha jioni unakula mzigo. Wengine ni atakuangaisha mwaka mzima. Ila ukiwa na pesa na muonekano mzuri ni chap chap tu
 
Shule zishafunguliwa ebu tulia kwanza umalize masomo yako ndo uwazie hayo sawa bwana mdogo.
 
Kifuatacho muwe marafiki kwanza.. akuzoee ndipo ufunguke.. usiyaharakishe mapenzi.

Sawa dogo?
 
Dogo ukishapata hela hata neno NAKUPENDA huba haja ya kulitumia.

Tafuta hela kwanza, ye atakutongoza
 
Back
Top Bottom