Ni muda gani naweza kumtongoza binti baada ya kufahamiana?

Ni muda gani naweza kumtongoza binti baada ya kufahamiana?

Kuna mademu bado wana misimamo mzee. Nina jamaa yangu anamfukuzia sister wa kikatoliki mwaka wa pili sasa kila siku anaambiwa ntakujibu kesho.
Hana pesa huyo, na km anayo bas hajiongezi.
Kiufupi ni kolooooh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina swali, ninahitaji majibu ya haraka sana. Hivi ni baada ya muda gani ninaweza kumtongoza msichana mara baada ya kuzoeana kidogo(kufahamu jina lake, anapoishi, n.k)? Je, ni vizuri kutumia neno 'nakupenda'?

Ni muda gani?

Nawasilisha!
Usichelewe
giphy.gif
 
Natamani nikatongoze mara ya pili, hapo vipi…. bomba hiyoooo!
 
Nina swali, ninahitaji majibu ya haraka sana. Hivi ni baada ya muda gani ninaweza kumtongoza msichana mara baada ya kuzoeana kidogo(kufahamu jina lake, anapoishi, n.k)? Je, ni vizuri kutumia neno 'nakupenda'?

Ni muda gani?

Nawasilisha!
Maisha ya siku hizi kwa vijana mnaochipuka raha sana.Unaingia mtandaoni halafu unauliza tu:
-nianze kumtongoza binti muda gani baada ya kuonana naye?
-nimhonge shilingi ngapi kwa mara ya kwanza?
-ninapomtongoza nimuangalie machoni?
-na maswali kadhalika wa kadhaa!
Mna raha sana.Hamtumii akili zenu kujishughulisha kupata majawabu.
😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 
ujana maji ya moto. Uwe makini yasikuunguze
 
Nina swali, ninahitaji majibu ya haraka sana. Hivi ni baada ya muda gani ninaweza kumtongoza msichana mara baada ya kuzoeana kidogo(kufahamu jina lake, anapoishi, n.k)? Je, ni vizuri kutumia neno 'nakupenda'?

Ni muda gani?

Nawasilisha!
Muda Inategemea mwanaume na mwanamke.

Pia inategemea umri na mazingira mliyopo.

Kama wote ni wadogo dogo/mko kichuo chuo au age flan 18-23, au mazingira flan ya kulelewa kama watoto,

Aisee kabla ya kutongozana mnaanza kuotana Kwanza. Mwezi unaweza katika.

Ila sisi walume, unakutana Leo mazingira yakiruhusu unamwambia siku hiyo hiyo na yasiporuhusu unayatengeneza upate muda umueleze mapemaaaaaa.

Ujue Moja,

Maswala unakaa na demu wiki nzima hujatongoza ni ufwala. Na kupotezeana muda.

Na Tena wale walevi ni dk hiyo hiyo unamwaga sera.

Ukilala unawaza kesho utapata wapi hela na sio msichana
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo na asubira yavuta kheri...
 
Sioni uzi wa Kimasihara mbona nataka kwenda kumuonyesha Ujinga wa Huu uzi wake
 
Nina swali, ninahitaji majibu ya haraka sana. Hivi ni baada ya muda gani ninaweza kumtongoza msichana mara baada ya kuzoeana kidogo(kufahamu jina lake, anapoishi, n.k)? Je, ni vizuri kutumia neno 'nakupenda'?

Ni muda gani?

Nawasilisha!
Hivi mwalimu wa somo la hesabu anaitwa nani kweli?
 
Back
Top Bottom