Mkwekwe_mchanja
Senior Member
- Oct 16, 2020
- 153
- 170
kwenye pesa sawa, ila swala la muonekano nadhani weka kando utachelewa kula mzigo ila utawai kusifiwa tu "very handsome".Inategemea na msichana mwenyewe yupoje yupoje. Mwingine unaweza kukutana nae asubuhi ukamsaundisha jioni unakula mzigo. Wengine ni atakuangaisha mwaka mzima.. ila ukiwa na pesa na muonekano mzuri ni chap chap tu
Kuhusu kurushwa hadi mwaka inategemea na subra ulioumbwa nayo. karne ya sasa hatunaga kufika mwaka bila kuelewa matokeo.