Ni muda gani viongozi wetu wanakaa na kutulia kufikiria uelekeo wa Taifa

Ni muda gani viongozi wetu wanakaa na kutulia kufikiria uelekeo wa Taifa

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,692
Reaction score
3,891
Ukiwa Kiongozi wa Nchi pamoja na mambo mengine ni kuwa mtulivu , kuwa na muda mrefu wa kutafakari kwa fikra tunduivu uelekeo wa Taifa.

Kwa kufanya hivyo unatoa uongozi na majawabu pale vyombo na taasisi zilizopo kisheria zinapokushauri.

Meditation inahitaji muda na utulivu . Nachoshangaa ni ndugu hawa kila kukicha makongamano, ufunguzi, ziara na matamasha. Muda wa kutafakari wanapata wapi jameni?
 
Back
Top Bottom