Ni muda mrefu sana Sumaye hajaonekana hadharani wala kusikika, kulikoni?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
 
Itakuwa kaamua alinde afya yake kwa kujichanganya na siasa.. Kama Mzee Mark Mwandosya alivyo jikalia zake kimya, au mzee Pinda japo wana msumbua sumbua mzee wetu kwa kumshirikiasha kwa mambo yao
 
Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
anaendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida, tena akiwa na afya na siha njema kabisa.

Na tulizindua pamoja dira ya taifa 2050.
Long leave Fredrick Thuayi Simayi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…