Mkoa? Labda iwe wilaya, kwani Kilwa na Ukerewe ni mikoa.Nadhan hata kama ni kwakutumia Nguvu, Zanzibar inabidi uwe Mkoa
Isiwe tena Jamhuri ya Muungano, Bali iwe Jamhuri ya watu wa Tanzania
HakikaSipingi uwepo wa Muungano. La hasha. Ila lazima tuwe wakweli ni wakati mwafaka wa kuwa na Serikali ya Tanganyika. Iongozwe na Mtanganyika na asimamie rasilimali za Tanganyika...
Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya
Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...www.jamiiforums.com
EEEeeenHeeee, Heeee!Sipingi uwepo wa Muungano. La hasha. Ila lazima tuwe wakweli ni wakati mwafaka wa kuwa na Serikali ya Tanganyika. Iongozwe na Mtanganyika na asimamie rasilimali za Tanganyika.
Zanzibar iwe huru kama ilivyo sasa na Serikali yake. Ijulikane wazi mchango wa zanzibar na tanganyika katika kuendesha Serikali ndogo ya Muungano.
Nafasi za uongozi katika structure ya Serikali ya Tanganyika ziwe kwa Watanganyika kama ilivyo kwa sasa Zanzibar nafasi za uongozi zipo kwa wazanzibari.
Hawa ma DC waliopo Mkuranga na Kilosa toka Zanzibar sio sawa kwa sasa. Huu muundo ni kero.
Hii ndiyo kweli tupu, lakini kila ukiangalia yanayofanyika chini ya Samia, ni wazi kabisa Zanzibar wanajiandaa kuondoka kabisa kwenye muungano.Ni wakati sasa wa kuwa na serikali moja!
Hawataweza, serikali moja itafikiwa tu, inaweza kuchelewa lakini ndio kituo kinachofuata.Hii ndiyo kweli tupu, lakini kila ukiangalia yanayofanyika chini ya Samia, ni wazi kabisa Zanzibar wanajiandaa kuondoka kabisa kwenye muungano.
Itahitaji kiongozi imara sana kulisimamia hili. Samia hawezi kabisa, ila anaweka mazingira ya kiongozi huyo shupavu kutimiza haya unayoyasema hapa.Hawataweza, serikali moja itafikiwa tu, inaweza kuchelewa lakini ndio kituo kinachofuata.
Asilimia 100 uko sahihi ila kuwa na serikali tatu ni udhaifu mkubwa sana badala ya kuwa na serikali moja tu kisha pasiwepo visingizio kwamba Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee kwamba mtu kutoka bara haruhusiwi kuwa na ardhi au kupata uongozi huko Zanzibar.Sipingi uwepo wa Muungano. La hasha. Ila lazima tuwe wakweli ni wakati mwafaka wa kuwa na Serikali ya Tanganyika. Iongozwe na Mtanganyika na asimamie rasilimali za Tanganyika.
Zanzibar iwe huru kama ilivyo sasa na Serikali yake. Ijulikane wazi mchango wa zanzibar na tanganyika katika kuendesha Serikali ndogo ya Muungano.
Nafasi za uongozi katika structure ya Serikali ya Tanganyika ziwe kwa Watanganyika kama ilivyo kwa sasa Zanzibar nafasi za uongozi zipo kwa wazanzibari.
Hawa ma DC waliopo Mkuranga na Kilosa toka Zanzibar sio sawa kwa sasa. Huu muundo ni kero.