Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la malipo yote, watu wa ugamvi na manunuzi ama store keeper.