Ni muda muafaka sasa kwa Yanga S.C kubuni 'Mascot' yenye kuleta hamasa zaidi

Imalamawazo

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2021
Posts
1,343
Reaction score
3,269
Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization.
Mascot ya yanga ni nini?

Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu?

Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya timu?

Mashabiki tumechoka, tunahitaji mascot yenye kuleta hamasa zaidi.
 
Haji chukua hiyo iwe personal assignment namba moja
 
Yanga itumie japo FaruJohn ndo awe mascot yake
 
Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization.
Mascot ya yanga ni nini?

Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu?

Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya timu?

Mashabiki tumechoka, tunahitaji mascot yenye kuleta hamasa zaidi.
jf kuna watu wana akili sana Simba wametambulisha leo
 
Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization.
Mascot ya yanga ni nini?

Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu?

Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya timu?

Mashabiki tumechoka, tunahitaji mascot yenye kuleta hamasa zaidi.
Utopolo kwa kuiga bhana ooh sisi tunawatu ,je wana akili!?
 
Haa
images (92).jpg
 
Yanga hahawaitaji vazi la tulanyungu lenye kutangaza jinalamtu binafsi badala ya Klabu. Yanga ipo vizuri bila ya Tulanyungu.
 
MO Rafiki.

Lazima wadau wa Simba tumsapoti MO kwa kile anachofanya ili ÷
Apate pesa aendelee kuisaidia Simba Sports Club.

MO Rafiki.
METL ndy wanamuhudumia yule mascot so sioni shida kuitwa Mo rafiki. Anaetaka akabid apewe chance simple.
 
Back
Top Bottom