Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Mzee Mpili tangu kule Kigoma si alpotelea Burundi. Kwani ameonekana.Vile vibwengo kwenye jersey vinafaa kuwa mascot. Au tengenezeni mascot ya mzee mpili.
Mzee Mpili hapati airtime kabisa. Kaamua kujiweka kando ili timu ifungwe ifungwe wamtafute tenaMzee Mpili tangu kule Kigoma si alpotelea Burundi. Kwani ameonekana.
jf kuna watu wana akili sana Simba wametambulisha leoMascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization.
Mascot ya yanga ni nini?
Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu?
Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya timu?
Mashabiki tumechoka, tunahitaji mascot yenye kuleta hamasa zaidi.
Utopolo kwa kuiga bhana ooh sisi tunawatu ,je wana akili!?Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization.
Mascot ya yanga ni nini?
Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu?
Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya timu?
Mashabiki tumechoka, tunahitaji mascot yenye kuleta hamasa zaidi.
Busta zao zmebumaMzee Mpili hapati airtime kabisa. Kaamua kujiweka kando ili timu ifungwe ifungwe wamtafute tena
METL ndy wanamuhudumia yule mascot so sioni shida kuitwa Mo rafiki. Anaetaka akabid apewe chance simple.MO Rafiki.
Lazima wadau wa Simba tumsapoti MO kwa kile anachofanya ili ÷
Apate pesa aendelee kuisaidia Simba Sports Club.
MO Rafiki.
Duh hii kali lakini haiwezi kupenya mchujo