Ni muda muafaka sasa Tanganyika kupitia koti la muungano itume wawakilishi baraza la wawakilishi Zanzibar

Ni muda muafaka sasa Tanganyika kupitia koti la muungano itume wawakilishi baraza la wawakilishi Zanzibar

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
20,419
Reaction score
39,217
Wakuu,kama tunavyofahamu kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka Zanzibar na wengine huchaguliwa kutoka baraza la wakilishi kuja kwenye Bunge la Muungano ambalo kimsingi ni Bunge la Tanganyika kupitia Koti la muungano.

Ambapo wabunge hao kutoka Zanzibar huja kujadili masula ya Tanganyika,hivyo ni wakati muafaka sasa Tanganyika kuchagua baadhi ya wabunge wawe wanaingia kwenye kikao cha baraza la wawakilishi hili likiwa na lengo kuu la kuimalisha na kudumisha muungano kama wanavyofanya wao huku.

N.B:Wabunge kutoka Zanzibar wahudhurie na kushiriki mijadara ya Wizara za muungano,zisizo za muungano wawe wanatoka nje.
 
Back
Top Bottom