Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi wa kuyaondoa. Au mpaka niseme moto, moto?Uchawi kivipi sasa
Tuziulize na manispa, jiji na hizo halmashauri. Nao wanakipengele chao.Wapo huku TRA Tanzania Ila hawawezi kujibu kwasababu hata wao hawana majibu na hawawezi kuyatoa hayo Mabango.
Nimekuelewa vizuri sana, mkuu; lakini cha kushangaza ni hao TRA sasa!Bango hupewi, unaweka mwenyewe kujulisha watu uwepo wa Hio biashara yako
Nasemea binafsi mkuu, ndo tunataka kujua haya ya mama yetu nani analipia, ni serikali kuu au?Nimekuelewa vizuri sana, mkuu; lakini cha kushangaza ni hao TRA sasa!
Ni kama ni wewe unafaidika na hilo Bango, kumbe wewe ni wakala tu, ambaye kiukweli ulitakiwa ulipwe kwa uwepo wa Bango lao hapo!
Lakini naelewa mambo ya CCM, kwa hiyo sikuhoji wewe ilikuwakuwaje...
AAaaah! Nimekwishajuwa nimekosea wapi.
Kumbe unazungumzia "Bango la Biashara" yako mwenyewe, na siyo lile la Mama.
Basi sawa.
Hilo la mama TRA hawalisogelei hata kwa mita moja!
Hakuna wakufanya hivyo ndugu yangu ,udhubutu ndani ya ofisi za ummaNilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa mwaka tukashindwana ikabidi nilitoe lile bango, sasa TRA mje mtueleze hayo mabango nchi nzima nani analipia kama ni chama, serikali, au watu binafsi na yanaingiza pesa kiasi Gani?
Haya mabango yanaweza kugeuka na kuwa balaa kwao wanaoyasambaza. Ni swala la muda tu.Nlpokuwa Dodoma nljua wameweka sababu ni Capital city nmekuja Mwanza ndio nkajua huwenda yapo sehemu nying sana nchi hii
Hujajibu swali, swai si uhalali wa Mabango kuwekwa. Swali ni nani anaghalimia. Labda nikuelewesh mantiki ya mtoa mada. Suala la kampeni liko chini ya chama husika. Mashirika ya umma yanatumia fedha za walipa kodi hayatakiwi kughaimia kampeni za vyama. Sasa hawa TRA wanaweka mabango ya mama kwa kutumia fedha zipi kwani source yao ya fedha ni tax payers money ambazo zinatakiwa zipelekwe kwenye maendeleo ya jamii na si siasa. Kama n hivyo wabandike picha za viongozi wa upinzani pianadhani yeyote yule yuko huru kuweka mabango popote nchini ikiwa anaona inafaa, na ikiwa atapata idhini ya mamlaka husika kwenye eneo husika....
hakuna bango maalumu popote nchi , lisilolipiwa wala eti halina idhini ya mamlaka husika, labda yale ya waganga wa jadi ya kurudisha mpenz aliepotea 🐒
🙋♂️✍️📝👍🤝👏Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa mwaka tukashindwana ikabidi nilitoe lile bango, sasa TRA mje mtueleze hayo mabango nchi nzima nani analipia kama ni chama, serikali, au watu binafsi na yanaingiza pesa kiasi Gani?
🤣 🤣 🤣Ni suala la muda tu ipo siku CCM itaondoka madarakani. Kuna kizazi kile cha kupokea vitenge vyenye sura ya mama kikiishia tukabaki vijana na elimu ikifika vzuri mpaka vijijini, CCM ataondoka tu tena kwa aibu kubwa