Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Mama katundikwa kwenye mabango nchi nzima kama kapotea na anatafutwa na Wanakizimkazi wenzake!🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Mama katundikwa kwenye mabango nchi nzima kama kapotea na anatafutwa na Wanakizimkazi wenzake!🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣Ili nikapigwe spana huko huko? Hunitakii mema sheikh
Mkuu ni muhimu ufafanuzi upatatikane, maana kweli kuna mkanganyiko hapa!!!Samahani, nimeshindwa kuelewa mkuu 'Mr mutuu'!
Ulikuwa na "kakibanda" uchochoroni. Hapa nimeelewa kuwa ulikuwa na kibiashara chako.
"TRA wakakupigia hesabu laki 3 kwa mwaka"- nimeelewa kwamba hiyo laki tatu ilikuwa kodi uliyopaswa kulipia hiyo biashara yako kwa mwaka.
"ikabidi nilitoe lile bango" - hapa ndipo nilipochanganyikiwa hasa. Hilo bango ndilo TRA walilolikadiria laki 3 kwa mwaka?
Mwisho. Nani aliyekuwekea/kupa hilo bango; na ulipoliondoa uliliwasilisha wapi?
🤣 🤣 🤣Rostam Azizi kasambaza haya mabango
yaani mabilioni ya ruzuku inayopokea CCM yanakaa tu kwenye akaunti za chama right? ndivyo unavyoelewa 🐒Hujajibu swali, swai si uhalali wa Mabango kuwekwa. Swali ni nani anaghalimia. Labda nikuelewesh mantiki ya mtoa mada. Suala la kampeni liko chini ya chama husika. Mashirika ya umma yanatumia fedha za walipa kodi hayatakiwi kughaimia kampeni za vyama. Sasa hawa TRA wanaweka mabango ya mama kwa kutumia fedha zipi kwani source yao ya fedha ni tax payers money ambazo zinatakiwa zipelekwe kwenye maendeleo ya jamii na si siasa. Kama n hivyo wabandike picha za viongozi wa upinzani pia
Huyo huyo kwenye picha ndio Top wa TRA.Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa mwaka tukashindwana ikabidi nilitoe lile bango, sasa TRA mje mtueleze hayo mabango nchi nzima nani analipia kama ni chama, serikali, au watu binafsi na yanaingiza pesa kiasi Gani?
🆗yaani mabilioni ya ruzuku inayopokea CCM yanakaa tu kwenye akaunti za chama right? ndivyo unavyoelewa 🐒
lakini pia,
wizara na taasisi mbalimbali za kisekta, zinawajibika kuujulisha umma kazi na miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo Rais, comrade Dr Samia Suluhu Hassan tayari ameshaifanya kwa umma wa makundi mbalimbali popote nchini..
Mabango unayoyaona ni sehemu ya kuujulisha umma wa waTanzania na kuweka wazi namna ambavyo, ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi 2020-2025 inatekelezwa kwa waTanzania.
kumbuka ilani ni mkataba wa kazi kati ya wananchi na chama husika, ili itakapoundwa serikali itumike kama formula ya kazi katika kuwatumikia wananchi.....
so,
mabango unayoyaona kote nchini yanaweza kugharamikiwa na chama Tawala, wizara, taasisi au mamlaka yoyote ile ya serikali ambayo inawajibika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM 🐒
tulia sasa 🐒
Upon nje ya mada, tunajua mabango yote yameidhinishwa, tunataka kujua nani anayalipia hayo mabango?nadhani yeyote yule yuko huru kuweka mabango popote nchini ikiwa anaona inafaa, na ikiwa atapata idhini ya mamlaka husika kwenye eneo husika....
hakuna bango maalumu popote nchi , lisilolipiwa wala eti halina idhini ya mamlaka husika, labda yale ya waganga wa jadi ya kurudisha mpenz aliepotea
Ni hatari sn🤣 🤣 🤣
Mkiwa mnaambiwa msikilize bajeti mnakaa vijiweni kuongelea Mo na GSM ndiyo madhara yake haya. Simba na Yanga zinapoteza sana watu mpaka akili inahamia miguuni. Toka lini ukasikia mabango ya kisiasa yanalipishwa kodi? Iwe Chamadema,CUf sijui ni CCM ,ACT hakuna bango lao hata moja litalipishwa kodi sababu sheria inasema mabango ya biashara nenda kajifunze siyo kuja leta taarifa za uongo. Pili hao unaowaita tra hata tafuta mwanasheria atakuambia hawakusanyi kodi za mabango kasome tena uje na lalamiko lako lisilo na kichwa kama wewe mwenye kichwa maji. hata kuingia tovuti ya tra umeshindwa na kusoma. Nimechukua dakika kumi tu nimesoma na kuona kodi zipi wanakusanya za mabango hawakusanyi katafute data uje tena au njoo inbox nikusomeshe bwege wewe. hapa chuki yako ni kwa raisi au tra? maana mara tra mara picha ya raisi huyo ni raisi utake usitake mpe heshima na nafasi yake kasuku wewe.Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa mwaka tukashindwana ikabidi nilitoe lile bango, sasa TRA mje mtueleze hayo mabango nchi nzima nani analipia kama ni chama, serikali, au watu binafsi na yanaingiza pesa kiasi Gani?
Wewe umechukua dakika kumi kusoma kama tra wanalipisha mabango, Mimi Nina mabango ninayolipia tra na mengine nilishindwa nikayatoa, tra ndo wanakadiria na kukusanya Kodi ya mabangoMkiwa mnaambiwa msikilize bajeti mnakaa vijiweni kuongelea Mo na GSM ndiyo madhara yake haya. Simba na Yanga zinapoteza sana watu mpaka akili inahamia miguuni. Toka lini ukasikia mabango ya kisiasa yanalipishwa kodi? Iwe Chamadema,CUf sijui ni CCM ,ACT hakuna bango lao hata moja litalipishwa kodi sababu sheria inasema mabango ya biashara nenda kajifunze siyo kuja leta taarifa za uongo. Pili hao unaowaita tra hata tafuta mwanasheria atakuambia hawakusanyi kodi za mabango kasome tena uje na lalamiko lako lisilo na kichwa kama wewe mwenye kichwa maji. hata kuingia tovuti ya tra umeshindwa na kusoma. Nimechukua dakika kumi tu nimesoma na kuona kodi zipi wanakusanya za mabango hawakusanyi katafute data uje tena au njoo inbox nikusomeshe bwege wewe. hapa chuki yako ni kwa raisi au tra? maana mara tra mara picha ya raisi huyo ni raisi utake usitake mpe heshima na nafasi yake kasuku wewe.
Tatizo mgumu kuelewa mabango yako ni ya biashara na tra hawalipushi hii ni tozo zipo halmashauri mabango ya kisiada hayatozwi kodi sababu hayaingizi mapatoWewe umechukua dakika kumi kusoma kama tra wanalipisha mabango, Mimi Nina mabango ninayolipia tra na mengine nilishindwa nikayatoa, tra ndo wanakadiria na kukusanya Kodi ya mabango