Ni muda muafaka sasa TRA mtoke hadharani mtuambie hayo mabango yenye picha ya Rais nchi nzima nani anayalipia na yanaingiza kiasi gani

Biashara yangu nimetoa bango kisa yanalipiwa sijui alieturoga watu weusi ni nani?
 
Bango hupewi, unaweka mwenyewe kujulisha watu uwepo wa Hio biashara yako
Nimekuelewa vizuri sana, mkuu; lakini cha kushangaza ni hao TRA sasa!
Ni kama ni wewe unafaidika na hilo Bango, kumbe wewe ni wakala tu, ambaye kiukweli ulitakiwa ulipwe kwa uwepo wa Bango lao hapo!

Lakini naelewa mambo ya CCM, kwa hiyo sikuhoji wewe ilikuwakuwaje...

AAaaah! Nimekwishajuwa nimekosea wapi.
Kumbe unazungumzia "Bango la Biashara" yako mwenyewe, na siyo lile la Mama.
Basi sawa.

Hilo la mama TRA hawalisogelei hata kwa mita moja!
 
Nasemea binafsi mkuu, ndo tunataka kujua haya ya mama yetu nani analipia, ni serikali kuu au?
 
Nlpokuwa Dodoma nljua wameweka sababu ni Capital city nmekuja Mwanza ndio nkajua huwenda yapo sehemu nying sana nchi hii
 
Hakuna wakufanya hivyo ndugu yangu ,udhubutu ndani ya ofisi za umma
 
Nahisi analipia yule 'tapeli' wa kutengeneza "under-invoice" za kila mzigo unaopitia kwake kuja Tz
 
Tangu amepata ile nafasi kwa sandakalawe hakuna cha maana alichofanya ambacho kitatumika kumsemea lazima ajitangaze sana, anakopa kila siku alafu anakuja kutengenezea mabango sio ajabu hiyo fedha ya kuchapisha hayo mabango ingepunguza shida ya vyoo na madawati kwenye shule nyingi za st kayumba
 
Badala yawekwe mabango kutangaza vivutio vya taifa anatangazwa mtu tuu!
Nimefika Arusha sioni matangazo ya vivutio vya utalii barabarani njia nzima nipicha ZAMTU mmoja mvaa ushungi akisifiwa kuliko asifiwavyo Muumba wake na wetu!!!
Aibu sana kuwa na taifa lenye viongozi mbumbumbu wanaowaza kujipendekeza na kutafuta vyeo/ukuu kuliko maendeleo na mustakabali wa taifa letu!!
Haya majinga yanasafiri nchi zilizoendelea LAKINI hayajifunzi kitu sijui huwa yanaenda kustarehe??
 
Hujajibu swali, swai si uhalali wa Mabango kuwekwa. Swali ni nani anaghalimia. Labda nikuelewesh mantiki ya mtoa mada. Suala la kampeni liko chini ya chama husika. Mashirika ya umma yanatumia fedha za walipa kodi hayatakiwi kughaimia kampeni za vyama. Sasa hawa TRA wanaweka mabango ya mama kwa kutumia fedha zipi kwani source yao ya fedha ni tax payers money ambazo zinatakiwa zipelekwe kwenye maendeleo ya jamii na si siasa. Kama n hivyo wabandike picha za viongozi wa upinzani pia
 
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸ“πŸ‘πŸ€πŸ‘
 
Ni suala la muda tu ipo siku CCM itaondoka madarakani. Kuna kizazi kile cha kupokea vitenge vyenye sura ya mama kikiishia tukabaki vijana na elimu ikifika vzuri mpaka vijijini, CCM ataondoka tu tena kwa aibu kubwa
🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…