Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kwanza niwapongeze kwa kipindi chote hicho cha uwongozi wenu enyi viongozi wa Simba.Mliitoa Simba Shimoni(kutokuwa maarufu na tishio) hadi kuifanya timu maarufu Afrika kwa hatua mbalimbali ilizopitia chini ya uwongozi wenu.
Mmefanya mengi mazuri ambayo yanatakiwa kubaki kama kumbukumbu nzuri na ya kujipongeza.
Ombi langu kwenu sasa ni kuanziq kesho angalau tungeona TAARIFA KWA UMA.Kwa maana mpishe na wengine nao kuitumikia Simba.Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmezidi kujiheshimisha kwa wanamichezo hasa timu ya Simba.
Timu inahitaji mabadiliko mengi ikiwemo na uwongozi kuachia kijiti Kwa heshima na wengine nao waitumikie Simba.