mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Enough is enough, watu hawawezi kua wanatekwa kama kuku wakisasa bila kujitetea, inatosha sasaBaba ni mwema hivi karibuni naenda kuongeza hirizi ya pili congo, kwangu ni dhana tosha.
Hakika mkuu.Enough is enough, watu hawawezi kua wanatekwa kama kuku wakisasa bila kujitetea, inatosha sasa
Watu wanatekwa na kuuliwa halafu serikali iko kimya. Mara moja mwenyewe akajitokeza kwa nyodo baada ya kuuliwa Mzee Kibao na kusema eti kifo ni kifo tu. Imagine mkuu wa vyombo vya usalama na chief comforter anatoa kauli ya kejeli kama ile. Watu wamefikia mwisho aisee!Uchumi mbovu, ukosefu wa ajira, tatizo la maji Safi, ukosefu wa madawati, shida ya umeme, rushwa na kero zingine vilikuwepo kila awamu na watu walivumilia, maisha yaliendelea, awamu hii ya Madam President Samia S. Hassan imeibuka kero ya utekaji, binafsi naona hii suala limemuharibia sana bi mkubwa, tena sana, kiufupi Polisi/watekaji walidhani wanamsaidia kumbe wanamdidimiza.
Tengeneza unga wa pilipili. Mtekaji akikusogerea una m saprise machoni. Bàada ya hapo mbio na kelele za msaada.Enough is enough, watu hawawezi kua wanatekwa kama kuku wakisasa bila kujitetea, inatosha sasa
Hakikisha pia unachanjwa marinda.Baba ni mwema hivi karibuni naenda kuongeza hirizi ya pili congo, kwangu ni dhana tosha.
Nakulaani kwa majina ya samuya na mbogamboga wote kwa ujumla pimbi kabisa aiseeeee!Hakikisha pia unachanjwa marinda.
Nyau wewe!
Hata mc pilipili aliona wanaouawa ni kwaajli usalama wake mpaka ilivyofika zamu yakeKama kuua Itafanya niwe kwenye usalama sina budi kufanya hivyo.....
Fafanua!???Hata mc pilipili aliona wanaouawa ni kwaajli usalama wake mpaka ilivyofika zamu yake
Jichwa box huwezi elewaFafanua!???
'Mtekaji akikusogelea' umekwisha!Tengeneza unga wa pilipili. Mtekaji akikusogerea una m saprise machoni. Bàada ya hapo mbio na kelele za msaada.
Mwamba ni Zakaria tu ,aliwapiga vyuma wasiojulikana walipotaka kumteka ,walikuja bila gadi akagawa kwa wastani bila idadi na mmoja wapo ilikuwa chupu chupu aonanane na israeli.Uzi huu hauna lengo la kuhamisha machafuko..
Ila ni wazi Serikali tiifu wameishiwa mpango kazi. Nimekuwa Arusha kwa karibu siku nane mpaka sasa, na hakuna siku imepita bila mtu kutekwa na wanaojiita wanausalama.
Wito wangu kwa waTanganyika wenzangu " hatuna mtu wakutulinda zaidi yetu sisi wenyewe kujilinda, sababu tunatawaliwa kimabavu na wauaji , hivyo kamwe usitoke nyumbani kwako bila zana yoyote ile ya kujilinda, inaweza kuwa bunduki, kisu , panga au shoka ila kivyovyote vile hakikisha you are armed.
Sababu hawa watu wakikushika asilimia zako za kuendelea kuishi zinakuwa chache sana, na mbaya zaidi wanakamata watu pasipokujali uhusika wao katika maandamano au kuipinga serikali yao batili.
Hivyo ni Bora ufe ukipambana nao kuliko kupotezwa kama kunguni kiuonevu.".. Naelekea Mwanza sasa ila I am well armed, na sitosita kujilinda nitakapohisi hatari yoyote. Ndio, sitotista kutoa uhai wa yeyote atakayenivamia.