Ni muda muafaka wa kujihami kwa silaha yoyote kila wakati

Ni muda muafaka wa kujihami kwa silaha yoyote kila wakati

MIe natembea na visu vyangu vilivyopakwa sumu...ikipita tu kwenye ngozi..hata shetani hakusaidii😁😁...ingawa najua hawateki ovyo
 
'Mtekaji akikusogelea' umekwisha!

Kumbe hata mbinu za raia kujihami mpaka itolewe semina isee!

Watekaji hawatakiwi kupata fursa ya kukusogelea namna hiyo utabebwa utake usitake tena ukiwa na pilipili zako kabisa mkononi!
Tupe Seminar kaka
 
Back
Top Bottom