Ni muda muafaka wa Spika Ndugai kuachia ngazi kwa hiari kwa kushindwa kulisimamia Bunge

Umenena!!!
 
Hafai hafai hafai hafai hafai hafai

Atoleweee atoleweee atoleweee atoleweee atoleweee atoleweee atoleweee atoleweee

Mvunja katiba huyo huyooo.......
 
Kwenye hili tuko pamoja
 
Wabunge ngono kwanza, ndiyo watuletee maendeleo!!!

Mamlaka zinazowapitisha ndizo zenye shida, zinaweka maslahi binafsi mbele
Kunatathimi ilifanyikaga nyakati Fulani kubaini ni Taifa lipi Africa linalopenda ngono kuliko vitu vingine barani Africa, ikabainika Tanzania inashika nafasi ya kwanza
 
Kunatathimi ilifanyikaga nyakati Fulani kubaini ni Taifa lipi Africa linalopenda ngono kuliko vitu vingine barani Africa, ikabainika Tanzania inashika nafasi ya kwanza
Mmmh!! Hatari sana
 
Kunatathimi ilifanyikaga nyakati Fulani kubaini ni Taifa lipi Africa linalopenda ngono kuliko vitu vingine barani Africa, ikabainika Tanzania inashika nafasi ya kwanza
🤣 😅 😆
Ukitaka kuthibitisha, anzisha uzi wa mapenzi hapa, at the same time weka uzi wa TANZIA ya mtu maarufu, huo wa tanzia utadumu kwa muda mfupi sana ila huo mwingine hata wiki 3
 
^Serikali imeshindwa kabisa; tuwapatie watu binafsi waendeshe^ ~ Spika Kazi Ndugai.

JKN: ^Mwanangu, kwa mtindo huu wa ubinafsishaji, muda si mrefu tutasikia umebinafsisha hadi jeshi!!!^
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Kwani bado hajaondoka kwa hiyari yake , basi wabunge wenzake wamuondoe
 
Kufanyike/zipigwe Kura za kumwondoa
Nataka kuitisha Kura zipatazo m.moja tu, zikifika, nitakwenda mahakamani kutaka kufahamu hasa ni nini kazi za speeker kikatiba, maana huyu tuliyenaye ni mvunjaji wa katiba Yetu kimaksudi
 
Huu ni mzigo kwa taifa bwashee
 
Wabunge warudi majimboni waitishe mikutano ya hadhara,
Mbunge asihutubie Bali wananchi wawe huru kuuliza maswali kwa mbunge.
Mbunge aeleze kwanini hajatoa hoja binafsi yakumuondoa Spika.
SPIKA MBABE,
N/SPIKA MUONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…