Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 515
Job ndugai ni mhuni sana cijiu mbichwa wake unashida gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena!!!Kama Spika Ndugai anakiri kuwa bunge zima lilipitisha sheria mbovu/ mbaya ya mifugo kutaifishwa ikiingia hifadhini basi huenda bunge limeshafanya madudu mengi sana.
Ndugai anadai huenda wabunge walikuwa wamelala usingizi wakati wa kupitisha sheria hiyo inaonyesha jinsi bungeni pasivyo na umakini kabisa.
Nashawishika kuamini hata akina Halima Mdee na wenzake huenda waliapishwa Spika akiwa usingizini bila kujua atendalo.
Kazi Iendelee!
Kwenye hili tuko pamojaKama Spika Ndugai anakiri kuwa bunge zima lilipitisha sheria mbovu/ mbaya ya mifugo kutaifishwa ikiingia hifadhini basi huenda bunge limeshafanya madudu mengi sana.
Ndugai anadai huenda wabunge walikuwa wamelala usingizi wakati wa kupitisha sheria hiyo inaonyesha jinsi bungeni pasivyo na umakini kabisa.
Nashawishika kuamini hata akina Halima Mdee na wenzake huenda waliapishwa Spika akiwa usingizini bila kujua atendalo.
Kazi Iendelee!
Sina hamu naye kabisa huyu mtuHuyu ni siyo wa kujihuzulu pekee anatakiwa kushitakiwa kwa uhujumu uchumi
Amelaaniwa haswaSina hamu naye kabisa huyu mtu
Njia ipi nzuri itumike ili ang'ooke paleSpika anaishi kwa kujipendekeza na siyo kufuata sheria
Kunatathimi ilifanyikaga nyakati Fulani kubaini ni Taifa lipi Africa linalopenda ngono kuliko vitu vingine barani Africa, ikabainika Tanzania inashika nafasi ya kwanzaWabunge ngono kwanza, ndiyo watuletee maendeleo!!!
Mamlaka zinazowapitisha ndizo zenye shida, zinaweka maslahi binafsi mbele
Mmmh!! Hatari sanaKunatathimi ilifanyikaga nyakati Fulani kubaini ni Taifa lipi Africa linalopenda ngono kuliko vitu vingine barani Africa, ikabainika Tanzania inashika nafasi ya kwanza
🤣 😅 😆Kunatathimi ilifanyikaga nyakati Fulani kubaini ni Taifa lipi Africa linalopenda ngono kuliko vitu vingine barani Africa, ikabainika Tanzania inashika nafasi ya kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah^Serikali imeshindwa kabisa; tuwapatie watu binafsi waendeshe^ ~ Spika Kazi Ndugai.
JKN: ^Mwanangu, kwa mtindo huu wa ubinafsishaji, muda si mrefu tutasikia umebinafsisha hadi jeshi!!!^
Maana yake hata wabunge wenyewe washamdharau speeka wao, hawezi Kazi
Kwani bado hajaondoka kwa hiyari yake , basi wabunge wenzake wamuondoeHodi wanajamvi,
Ambaye hajachoshwa na Ndugai anyoshe mkono ama afanye kama anajikuna tu ili tumuone hapa.
Sipika wetu Ni Kati ya watu wasioweza kusimama Kwenye msimamo mmoja.
Kipindi cha Hayati JPM kuhusu bandari ya Bagamoyo, alikaa kimya lakini Leo ndio mpiga Debe wa hiyo Bandari, tumweleweje?
Leo Anasema, Hayati hakushauriwa vizuri, yeye kama mhimili na msimamizi na mshauri mkuu wa serikali mbona hakufanya hivyo?
Aliruhusu Bunge kupitisha Sheria ya mifugo pindi ikiingia Kwenye hifadhi itaifishwe, Leo anajishangaa, aachie ngazi mara moja, kama anasahau Hadi kazi zake, kwani iko siku atakuja kupitisha Sheria ya wananchi kulala saa 10:39 jioni badala ya muda wa kawaida kulala.
Bunge limemshinda haeleweki, Tusisahau na zile pesa zilizotumika Kwenye matibabu yake na wakati huo huo mwenzake alipopatwa ajali ya kupigwa risasi alikataa Matumizi yaleyale aliyofanyiwa yeye, ajihudhuru aisee.
Ndugai, tunza hako kaheshima ulikobaki nako, Ng'ooooka hapo Kwenye kiti hicho.
Halafu Kwa mbaaali ni kama kanafanya kikampeni uchwara cha kuona kama atapata kibali ili wananchi tumuone anafaaa, sjui kanampango wa kuchukua fomu?
Kufanyike/zipigwe Kura za kumwondoaKwani bado hajaondoka kwa hiyari yake , basi wabunge wenzake wamuondoe
Nataka kuitisha Kura zipatazo m.moja tu, zikifika, nitakwenda mahakamani kutaka kufahamu hasa ni nini kazi za speeker kikatiba, maana huyu tuliyenaye ni mvunjaji wa katiba Yetu kimaksudiKufanyike/zipigwe Kura za kumwondoa
Kama Spika Ndugai anakiri kuwa bunge zima lilipitisha sheria mbovu/ mbaya ya mifugo kutaifishwa ikiingia hifadhini basi huenda bunge limeshafanya madudu mengi sana.
Ndugai anadai huenda wabunge walikuwa wamelala usingizi wakati wa kupitisha sheria hiyo inaonyesha jinsi bungeni pasivyo na umakini kabisa.
Nashawishika kuamini hata akina Halima Mdee na wenzake huenda waliapishwa Spika akiwa usingizini bila kujua atendalo.
Kazi Iendelee!