SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yuko Rombo mazikoniWana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.
Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki meli na bandari kavu pale Kariakoo. Nahisi nyota-nyota.