SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yuko Rombo mazikoniWana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.
Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki meli na bandari kavu pale Kariakoo. Nahisi nyota-nyota.
Hiyo ni zaid ya ndotoHuyu mzee angekua Rais, Mbowe waziri mkuu! Walah hii nchi ingepaa!
He can go to hell or to SomaliaWana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.
Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki meli na bandari kavu pale Kariakoo. Nahisi nyota-nyota.
Yupo anakula kwa mrija NCHI IPO shwari Wazuri hawafiWana wema,