Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Na iwe kama ulivonena AMENWakati wa rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi. Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa, anauwa na kuwafunga watu ambao wanamkosoa.
TUOMBE
Baba wa Mbinguni Mungu, wewe huwa unajibu maombi. Ulisema katika maandiko yako kuwa tutii kila mamlaka. Lakini kuna mamlaka nyingine zimewekwa na shetani. Mamlaka hii inatesa watu wake kwa kuwateka, kuwapiga, kuwaumiza na kuwaua. Inafunga watu ambao wanakosoa. Baba sisi hatuna nguvu ya kushindana nao. Tunajua wewe unaona na unatenda. Tunaomba ukatende kama ulivyotenda mwonzo. Tuondolee huu utawala uliojaa damu na utupatie viongozi wapya watakao tufikisha nchi ya ahadi. AMINA
AMINA!Wakati wa rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi. Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa, anauwa na kuwafunga watu ambao wanamkosoa.
TUOMBE
Baba wa Mbinguni Mungu, wewe huwa unajibu maombi. Ulisema katika maandiko yako kuwa tutii kila mamlaka. Lakini kuna mamlaka nyingine zimewekwa na shetani. Mamlaka hii inatesa watu wake kwa kuwateka, kuwapiga, kuwaumiza na kuwaua. Inafunga watu ambao wanakosoa. Baba sisi hatuna nguvu ya kushindana nao. Tunajua wewe unaona na unatenda. Tunaomba ukatende kama ulivyotenda mwonzo. Tuondolee huu utawala uliojaa damu na utupatie viongozi wapya watakao tufikisha nchi ya ahadi. AMINA
AminaWakati wa Rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi.
Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa, anauwa na kuwafunga watu ambao wanamkosoa.
TUOMBE
Baba wa Mbinguni Mungu, wewe huwa unajibu maombi. Ulisema katika maandiko yako kuwa tutii kila mamlaka. Lakini kuna mamlaka nyingine zimewekwa na shetani. Mamlaka hii inatesa watu wake kwa kuwateka, kuwapiga, kuwaumiza na kuwaua. Inafunga watu ambao wanakosoa. Baba sisi hatuna nguvu ya kushindana nao. Tunajua wewe unaona na unatenda. Tunaomba ukatende kama ulivyotenda mwonzo. Tuondolee huu utawala uliojaa damu na utupatie viongozi wapya watakao tufikisha nchi ya ahadi.
AMINA
Kabisa, atoke!Wakati wa Rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi.
Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa, anauwa na kuwafunga watu ambao wanamkosoa.
TUOMBE
Baba wa Mbinguni Mungu, wewe huwa unajibu maombi. Ulisema katika maandiko yako kuwa tutii kila mamlaka. Lakini kuna mamlaka nyingine zimewekwa na shetani. Mamlaka hii inatesa watu wake kwa kuwateka, kuwapiga, kuwaumiza na kuwaua. Inafunga watu ambao wanakosoa. Baba sisi hatuna nguvu ya kushindana nao. Tunajua wewe unaona na unatenda. Tunaomba ukatende kama ulivyotenda mwonzo. Tuondolee huu utawala uliojaa damu na utupatie viongozi wapya watakao tufikisha nchi ya ahadi.
AMINA
Hana shida ila shida ndiyo zina yeye.Amina.Mbona huyu mama hana shida nyie mmemfanyaje kwani.?
Pole sana kwa madhila uliyokutana nayo, Mungu ni mwenye kusikiaHana shida ila shida ndiyo zina yeye.Amina.
Kuziona shida zilivyomkaa mtu kijijini kwenu mnaita "madhira"?Huku kijijini kwetu tungekuambia kichwa chako kimepata madhila makubwa/ukichaa.Pole sana kwa madhira uliyokutana nayo, Mungu ni mwenye kusikia
Hili nalo mkaliangalieWakati wa Rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi.
Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa, anauwa na kuwafunga watu ambao wanamkosoa.
TUOMBE
Baba wa Mbinguni Mungu, wewe huwa unajibu maombi. Ulisema katika maandiko yako kuwa tutii kila mamlaka. Lakini kuna mamlaka nyingine zimewekwa na shetani. Mamlaka hii inatesa watu wake kwa kuwateka, kuwapiga, kuwaumiza na kuwaua. Inafunga watu ambao wanakosoa. Baba sisi hatuna nguvu ya kushindana nao. Tunajua wewe unaona na unatenda. Tunaomba ukatende kama ulivyotenda mwonzo. Tuondolee huu utawala uliojaa damu na utupatie viongozi wapya watakao tufikisha nchi ya ahadi.
AMINA
Nitarekebisha unasemaje hapo ?Kuziona shida zilivyomkaa mtu kijijini kwenu mnaita "madhira"?Huku kijijini kwetu tungekuambia kichwa chako kimepata madhila makubwa/ukichaa.
Pigeni kelele Mama yupo mitano tenaKuziona shida zilivyomkaa mtu kijijini kwenu mnaita "madhira"?Huku kijijini kwetu tungekuambia kichwa chako kimepata madhila makubwa/ukichaa.
Nani amekukataza kuwaza utakacho?Pigeni kelele Mama yupo mitano tena
Hayo sio mawazo ni mipangoNani amekukataza kuwaza utakacho?
Siyo kila mipango ni mipango.Huo ni ujinga-mkomavu.Hayo sio mawazo ni mipango