Ni muda sasa umeme haujakatika

Ni muda sasa umeme haujakatika

Tuwe waadilifu wajameni, tuliolaumu sanaaaa, sasa tupongeze sanaaaa,

Hongera doto, hongera mama, hongera tanesco
Kanyaga twende
Ktk hao wote uliowapongeza hapo labda kama unampongeza mama yako kwa kukuzaa lakini hakuna mwenye haki ya kupongezwa kabla ya kumpongeza aliyethubutu kutekeleza wazo la kujenga chanzo cha uhakika cha umeme leo wanaringia ni wao wamefanya.
 
Tunapongeza waliopo
Asiyewepo na lake halipo
 
Back
Top Bottom