Ni muda sasa umeme haujakatika

Ni muda sasa umeme haujakatika

wanatuunguzia vitu kila siku kwa kuchezesha umeme.
 
Ni loose connection tu, wapigie emergency fasta wanarekebisha
Hakuna cha loose wala nini,,wanatabia ya kukata umeme haimaliz hata dak wanarudsha,,io loose connection mtaa mzima coz ukichungulia na majirani unaona giza,,na kama ni ivo bas io loose ni kubwaaaaa
 
Mwaka wa uchaguzi huu serikali za mitaa na vijiji, mwakani ni uchaguzi mkuu, usishangae wenyeviti wa mitaa na wabunge pamoja na madiwani kuleta magari ya kuchonga barabara za ndani,
Lengo ni gear za kutongozea wapiga kura.
Baada ya 2026 kama hamna mgao ndio wapongezwe na si majira haya

Tuwe waadilifu wajameni, tuliolaumu sanaaaa, sasa tupongeze sanaaaa,

Hongera Doto, hongera mama, hongera Tanesco

Kanyaga twende
 
Mwaka wa uchaguzi huu serikali za mitaa na vijiji, mwakani ni uchaguzi mkuu, usishangae wenyeviti wa mitaa na wabunge pamoja na madiwani kuleta magari ya kuchonga barabara za ndani,
Lengo ni gear za kutongozea wapiga kura.
Baada ya 2026 kama hamna mgao ndio wapongezwe na si majira haya
It make sense
Wacha tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom