Ni muda sasa umeme haujakatika

Kwanini tusiwasifie watu wakitelekeza wajibu wao, inatakiwa tuwawajibishe wasipotelekeza

Ni Tanzania pekee watu wanalipa Kodi ila Serikali ikawapa huduma wanapiga magoti kushukuru
 
Tuwe waadilifu wajameni, tuliolaumu sanaaaa, sasa tupongeze sanaaaa,

Hongera doto, hongera mama, hongera tanesco
Kanyaga twende
Ktk hao wote uliowapongeza hapo labda kama unampongeza mama yako kwa kukuzaa lakini hakuna mwenye haki ya kupongezwa kabla ya kumpongeza aliyethubutu kutekeleza wazo la kujenga chanzo cha uhakika cha umeme leo wanaringia ni wao wamefanya.
 
Tunapongeza waliopo
Asiyewepo na lake halipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…