TheMaster
Member
- Aug 10, 2023
- 36
- 68
Baada ya tetesi na maneno ya muda mrefu kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini au ni chama cha wachaga Ni muda sasa CHADEMA kutoka nje ya mikono na uangalizi wa wachaga, baada ya Edwin Mtei kuongoza CHADEMA kisha kumuachia rafiki yake Bob Makani kisha Freeman Mbowe ambaye ni baba mkwe wa Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA Edwin Mtei, sasa ni rasmi CHADEMA inapaswa kuongozwa na mtu asiyefungamana na wachaga na familia ya akina mtei na Makani.
Kumekuwa na tetesi kadhaa kuwa mtu kama John mrema amekuwa hana utii kwa katibu mkuu wa chama John Mnyika, au mtu kama Godbless Lema amekuwa akijiweka kama vile ndo makamu wa CHADEMA taifa, kuliko hata Tundu Lisu.
Sasa ni rasmi, Lisu anakuja kuondoa ombwe la ukabila ndani ya CHADEMA endapo atapata nafuu ya ushindi kwenye uchaguzi