Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Umewaza ovyo sana, mpira ni mchezo wa wazi, tatizo la team yetu ni la kisaikolojia na kiufundi zaidi. Jina hata mkijiita Brazil haitawasaidia.Timu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani...Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti..mfano Rwanda ama Msumbiji kuna Amavubi na Mamba. Sisi huku ni Taifa Stars... hakuna hata nembo inayowakilisha nchi yetu. Naigeria wanajiita Tai na wanaye hasa Tai. Ni muda sasa wa kuachana na jina la Taifa Stars na kutafuta jina jipya uenda kutakuwa na mafanikio.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Umejibu kijinga sana. Tafuta historia.Umewaza ovyo sana, mpira ni mchezo wa wazi, tatizo la team yetu ni la kisaikolojia na kiufundi zaidi. Jina hata mkijiita Brazil haitawasaidia.
Unaweza kutufokea, kutugombeza, kututukana, kutudharilisha na kutubeza hapa kila siku, kila saa, kila dakika.
Timu inaitwa Taifa Stars...Taifa lenyewe tabu tupu.Unaweza kutufokea, kutugombeza, kututukana, kutudharilisha na kutubeza hapa kila siku, kila saa, kila dakika.
Ila mwisho wa siku kuna kitu kimoja tu kitabaki kuwa kweli.
Kitu hicho ni hiki;
JINA HALISAIDII CHOCHOTE.
Unataka kutuambia timu ya taifa ya wanawake inafanya vizuri kwa sababu inaitwa TWIGA Stars ?
Ile ya vijana inafanya vizuri kwa sababu inaitwa SERENGETI Boys ?
Na ile nyingine ya Tanzania bara inafanya vizuri kwa sababu inaitwa KILIMANJARO Heroes ?
Au unataka tubadili jina kwa sababu za kihistoria na "kutangaza utalii", na sio kwa sababu za kimpira ?
Tunaweza kuiita vyovyote vile, ila mwisho wa siku JINA HALISAIDII.
Tuiite Rufiji, Malagarasi, Makinikia, Mwalimu Nyerere, Mkwawa, Kinjekitile, Pweza, Nyumbu, Makaa ya mawe, Tamisemi, Oldonyo Lengai Uzalendo, Kisiwa cha amani, n.k bado jina halitasaidia chochote.
Timu ikiwa na uwezo itafanya vizuri tu hata kama jina lake ni ZUBEDA, UYOGA au NANJILINJI.
Aidha uwezo wako wa kufikiri ni finyu sana au umeamua kuchangamsha jukwaa.Timu inaitwa Taifa Stars...Taifa lenyewe tabu tupu.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Nadhani wewe akili yako ni pungufu how unajibu kitu ambacho hakina mantiki...kwanza niambie umri wako. Nikukumbushe tu wakati wa FAT kulitokea wazo la timu ya Tanzania ibadilishwe jina kutokana na kuwepo kwa matokeo yasiyoridhisha. Kaa ukijadili hoja huku ukipitia na historia. Kuna siku unaweza kukuta mtu kajadili kuwepo kwa vazi la taifa utasema mbona tunavaa nguo.Aidha uwezo wako wa kufikiri ni finyu sana au umeamua kuchangamsha jukwaa.
Ni kwa namna gani jina litatusaidia kupata matokeo!? NifafanulieNadhani wewe akili yako ni pungufu how unajibu kitu ambacho hakina mantiki...kwanza niambie umri wako. Nikukumbushe tu wakati wa FAT kulitokea wazo la timu ya Tanzania ibadilishwe jina kutokana na kuwepo kwa matokeo yasiyoridhisha. Kaa ukijadili hoja huku ukipitia na historia. Kuna siku unaweza kukuta mtu kajadili kuwepo kwa vazi la taifa utasema mbona tunavaa nguo.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Nimekuuliza umri wako unakimbia! Nimekukumbusha tu kuwa hili jambo lilikuwepo tokea kipindi cha FAT sijui kama ulishakuja duniani. Hili jina Taifa Stars lina maana gani kwa upande wako?Ni kwa namna gani jina litatusaidia kupata matokeo!? Nifafanulie
Umri wangu hautakusaida kitu, huna hoja zaidi unabwabwaja na imani zako za kishirikina. Soccer ni mchezo wa wazi, ukijiandaa vema na kujenga misingi bora ya uzalishaji na uandaaji wa wachezaji utapata mafanikio tu na si kutupotezea muda kujadili jina! Nimekudharau.Nimekuuliza umri wako unakimbia! Nimekukumbusha tu kuwa hili jambo lilikuwepo tokea kipindi cha FAT sijui kama ulishakuja duniani. Hili jina Taifa Stars lina maana gani kwa upande wako?
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Jambo kuweko cku nyingi ckigezo ndio maana halikushughulikwa kwa kuwa halikuwa na maana wala umuhimu yako mambo ya kushughulikia kwenye mpira wetu na co hilo la jina nani alifanya vizuei kwa sababu alipewa jina zuriNimekuuliza umri wako unakimbia! Nimekukumbusha tu kuwa hili jambo lilikuwepo tokea kipindi cha FAT sijui kama ulishakuja duniani. Hili jina Taifa Stars lina maana gani kwa upande wako?
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Kwenye nembo waweke kichwa cha mwendawazimuTimu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti.
Mfano Rwanda ama Msumbiji kuna Amavubi na Mamba.
Sisi huku ni Taifa Stars... hakuna hata nembo inayowakilisha nchi yetu. Nigeria wanajiita Tai na wanaye hasa Tai.
Ni muda sasa wa kuachana na jina la Taifa Stars na kutafuta jina jipya huenda kutakuwa na mafanikio.
Jina gani kwa mfanoTimu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti.
Mfano Rwanda ama Msumbiji kuna Amavubi na Mamba.
Sisi huku ni Taifa Stars... hakuna hata nembo inayowakilisha nchi yetu. Nigeria wanajiita Tai na wanaye hasa Tai.
Ni muda sasa wa kuachana na jina la Taifa Stars na kutafuta jina jipya huenda kutakuwa na mafanikio.
Pendekeza jina Sasa.....au tujiite Tanzanite?Timu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti.
Mfano Rwanda ama Msumbiji kuna Amavubi na Mamba.
Sisi huku ni Taifa Stars... hakuna hata nembo inayowakilisha nchi yetu. Nigeria wanajiita Tai na wanaye hasa Tai.
Ni muda sasa wa kuachana na jina la Taifa Stars na kutafuta jina jipya huenda kutakuwa na mafanikio.
Tujiite MBWA MWITU au THE WILD DOGS...Timu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti.