Katika hoja ambazo GENTAMYCIME alikuwa anazisubiri kwa hamu mojawapo ni hii!Hili taifa linaumuhimu kama tukilileta sehemu yetu na kulimeza
Tutafaidika
Kiusalama upande wa magharibi
Ki uchumi kutokana na idadi yao ya watu
Pamoja na mengne
Taifa hilo liitwe Tanzabunia
Yaani ungependa tuwe overseas territory ya nchi za Ulaya?Labda ungesema tuungane na USA , Canada , Germany au hata Uk kuungana na vinchi maskini ni kuendelea kujiongezea umasikini
Kama ni Kigeographia walau hata Kongo itatufaa zaidi