Ni muda sasa wa Tanzania kuungna na Burundi

Ni muda sasa wa Tanzania kuungna na Burundi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Hili taifa linaumuhimu kama tukilileta sehemu yetu na kulimeza
Tutafaidika
Kiusalama upande wa magharibi
Ki uchumi kutokana na idadi yao ya watu
Pamoja na mengne
Taifa hilo liitwe Tanzabunia
 
Hili taifa linaumuhimu kama tukilileta sehemu yetu na kulimeza
Tutafaidika
Kiusalama upande wa magharibi
Ki uchumi kutokana na idadi yao ya watu
Pamoja na mengne
Taifa hilo liitwe Tanzabunia
Katika hoja ambazo GENTAMYCIME alikuwa anazisubiri kwa hamu mojawapo ni hii!
 
Wataongeza nini chenye tija ambacho hakipo Tanzania ya sasa?
 
Labda ungesema tuungane na USA , Canada , Germany au hata Uk kuungana na vinchi maskini ni kuendelea kujiongezea umasikini

Kama ni Kigeographia walau hata Kongo itatufaa zaidi
 
Labda ungesema tuungane na USA , Canada , Germany au hata Uk kuungana na vinchi maskini ni kuendelea kujiongezea umasikini

Kama ni Kigeographia walau hata Kongo itatufaa zaidi
Yaani ungependa tuwe overseas territory ya nchi za Ulaya?
 
Back
Top Bottom