Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Unapozungumzia match ngumu dhidi ya simba ni zipi hizo ikiwa hajacheza dabi yeyote hapa bongo! Katika game 18 mwamba ana goal 15 tathmini ya kila mechi goal..anastahili heshima ktk hili! Au kwako Ngaya ndio mechi ngumu hah hah hah Uto bhana dahHayo magoli kazifunga timu zipi,mbona kwenye match ngumu na muhimu ambapo timu inapigania ushindi kwa jasho na damu hana maajabu yoyote yale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kombe linapatikana kwenye mechi ngumu tuuuHayo magoli kazifunga timu zipi,mbona kwenye match ngumu na muhimu ambapo timu inapigania ushindi kwa jasho na damu hana maajabu yoyote yale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako ya umbumbumbu match ngumu na muhimu ni Simba na Yanga tuu,mbona kwenye match ya Kaizer hakufanya lolote?Unapozungumzia match ngumu dhidi ya simba ni zipi hizo ikiwa hajacheza dabi yeyote hapa bongo! Katika game 18 mwamba ana goal 15 tathmini ya kila mechi goal..anastahili heshima ktk hili! Au kwako Ngaya ndio mechi ngumu hah hah hah Uto bhana dah
Hivyo wakusifiwa ni goal maker wa timu yakeIla anakosa magoli mengi zaidi ya anayofunga
Timu za ligu kuu , ulitaka azifunge zipi?Hayo magoli kazifunga timu zipi,mbona kwenye match ngumu na muhimu ambapo timu inapigania ushindi kwa jasho na damu hana maajabu yoyote yale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo magoli kazifunga timu zipi,mbona kwenye match ngumu na muhimu ambapo timu inapigania ushindi kwa jasho na damu hana maajabu yoyote yale?
Sent using Jamii Forums mobile app
nitampa heshima labda za mchongoLeo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi.
Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
Kapombeeeeeeeeeee goaaaaaaaallllllUnataka kucheza nusu fainal ya CAF una Mugalu na Kibu!! Ata kama mpira una dunda ila sio Kwa kiwango icho.