Ni muda wa kumpa sifa zake Mugalu

Ni muda wa kumpa sifa zake Mugalu

Wadau wa soka hapa bongo hawana shukrani wala fadhila kabisa...leo tunatoa sifa kedekede kwa Kope Mugalu lakini akiharibu kidogo tu inakuwa uvumilivu zero...hatuna uvumilivu kabisa, siku zote tumekuwa tukitaka matokeo ya haraka kitu ambacho ni kinyume na wanafamilia wa soka kote Duniani!
 
Hayo magoli kazifunga timu zipi,mbona kwenye match ngumu na muhimu ambapo timu inapigania ushindi kwa jasho na damu hana maajabu yoyote yale?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapozungumzia match ngumu dhidi ya simba ni zipi hizo ikiwa hajacheza dabi yeyote hapa bongo! Katika game 18 mwamba ana goal 15 tathmini ya kila mechi goal..anastahili heshima ktk hili! Au kwako Ngaya ndio mechi ngumu hah hah hah Uto bhana dah
 
Kwa akili yako ya umbumbumbu match ngumu na muhimu ni Simba na Yanga tuu,mbona kwenye match ya Kaizer hakufanya lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki yangu wewe mpira utakuwa umeanza kuushabikia ukubwani, au bado una mambo ya kizamani ya U-simba na U-yanga, kitu ambacho binbafsi siki-entertain kwa sasa...poor you!
 
Spoon fed. Chama kama hayupo kumpa zile za kumalizia tu, magoli hakuna. Magoli ya personal effort are almost non existence.
 
Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi.

Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
nitampa heshima labda za mchongo

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Unataka kucheza nusu fainal ya CAF una Mugalu na Kibu!! Ata kama mpira una dunda ila sio Kwa kiwango icho.
 
Unataka kucheza nusu fainal ya CAF una Mugalu na Kibu!! Ata kama mpira una dunda ila sio Kwa kiwango icho.
Kapombeeeeeeeeeee goaaaaaaaallllll
Uto wote chaliiiiii
 
Back
Top Bottom