Ni muda wa Mudathir Yahya

Auto-Marvelt

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
1,653
Reaction score
3,336
Leo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa 24 tu.
Ni zamu ya Mudathiri
Ni zamu ya Yanga kung'aa CAF

Muda anawania na
. Aymen Mahious wa USM alger
. Aubin Kramo Kouamé wa Asec mimosa
. Paul Acquah wa Rivers Utd

Goli la Mudathiri alilifunga kwenye mechi dhidi ya TP Mazembe
Let us go Wananchiiiiii[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji817][emoji817][emoji817][emoji95]

Unaweza kupiga Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC) na Link ipo kwenye bio[emoji3595] ya @yangasc instagram

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko[emoji1666][emoji1666]

 
Haya onyesheni unafki wenu. Simba walipokuwa wanapiga kura mlikuwa mnakejeli, basi potezeeni hili jambo.

Halafu hilo goli la Mudathir, Simba wamelifunga mara mbili toka wakati huo, mara ya pili katika uwanja mgumu kweli kweli kwa timu ngeni kupata goli.
 
Sema la wiki sio la CAFCC, na kama kuna mwarabu kwenye hao wachezaji hamtoboi na sisi makoro tunawafanya kama mlivotufanyia kwa Chama
 
Chama aje ajifunze hapa
Mbona gepu kubwa hapa

Ahàahahah

Aiseeeee
 
Nishapiga mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20230404-201634.png
    114 KB · Views: 2
Ahaaaahah
 
Wanasimba tumekubaliana kuwa goli bora ni lile lililofungwa na Aymen Mahious.

Bado hujachelewa ewe mwanasimba..nenda twitter kwenye page ya CAFCLCC umpigie kura ayman Mahious wa USM Alger.

Mimi nimeshapiga kura wewe unasubiri nini?
 
Kwa hiyo tukusaidieje mkuu
Halafu ilibidi liwepo na lile aliofunga Mayele dhidi ya Real Bamako, maana ile ball receiving, turning and shooting was marvelous
 
Kwa hiyo tukusaidieje mkuu
Halafu ilibidi liwepo na lile aliofunga Mayele dhidi ya Real Bamako, maana ile ball receiving, turning and shooting was marvelous
Ungesema tu unapendelea Mayele ashinde nafasi hiyo. Ila usihofu, nimeshapiga kura huko.

 
Kumbe na nyie mnapiga kura? Huu unafiki sijui mtauacha lini!!! Ngoja niishie tu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…