econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwa Sasa CCM na serikali yake dhalimu wamezidi dharau nyingi. Wanafanya udhalimu wa wazi mchana peupe wakijua hakuna wa kuwafanya chochote.
Chaguzi ndio njia pekee ya kukabidhiana madaraka kwa amani. Pale ambapo uchaguzi hauheshimiwi na kura za wananchi hazipewi uzito unatakiwa basi njia iliyobakia ni silver revolution.
Silver revolution ni njia mbadala unaotumia pale ambapo uchaguzi umedharauliwa. Kwa mfano huu uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024 ulianza na udhurumati mwingi Sana. Wagombea wa upinzani kuenguliwa, baadae mawakala wao kutokuapishwa na wagombea wengine kuuawa.
Silver revolution itasaidia kuondoa dharau iliyopo kwa Sasa dhidi ya vyama vya upinzani na kulazimisha serikali ikae na upinzani na kukubaliana njia ya kufuata. Bila silver revolution CCM na serikali yake watadharau maamuzi ya wananchi na kujifanya wao ndio wenye hati miliki ya kutawala Tanzania.