Ni muda wa simba sasa kujifunza kutoka kwa watani zao Yanga

mpiga vichwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
2,376
Reaction score
3,811
Ndiyo , ni ukweli usiopingika kwamba Yanga ndiyo timu pekee hapa Tanzania yenye mafanikio makubwa katika soka la Afrika kutokana na timu hiyo kubeba makombe mengi yanayoandaliwa na CAF hali inayopelekea kuwadhihaki simba katika kila hatua wanayofikia kwenye mashindano hayo.

Makofi tafadhari kwa Yanga !!
 
Duka halifungwi hapa.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo , ni ukweli usiopingika kwamba Yanga ndiyo timu pekee hapa Tanzania yenye mafanikio makubwa katika soka la Afrika kutokana na timu hiyo kubeba makombe mengi yanayoandaliwa na CAF hali inayopelekea kuwadhihaki simba katika kila hatua wanayofikia kwenye mashindano hayo.

Makofi tafadhari kwa Yanga !!
Endeleeni tu kujisahaulisha. Wananchi leo wameshaingia mbugani, tayari kumuwinda mnyama!
 
Ndiyo , ni ukweli usiopingika kwamba Yanga ndiyo timu pekee hapa Tanzania yenye mafanikio makubwa katika soka la Afrika kutokana na timu hiyo kubeba makombe mengi yanayoandaliwa na CAF hali inayopelekea kuwadhihaki simba katika kila hatua wanayofikia kwenye mashindano hayo.

Makofi tafadhari kwa Yanga !!
Mnashusha hadhi ya JF, hii ilipaswa iwe ni comment lakini haina sifa wala vigezo vya kuwa eti hii nayo ni thread.

Ujinga huu.
 
👏👏👏👏
 
kweli kabisa mleta mada 😂😂😂
 
Mnashusha hadhi ya JF, hii ilipaswa iwe ni comment lakini haina sifa wala vigezo vya kuwa eti hii nayo ni thread.

Ujinga huu.
Jiwe la gizani hilo mkuu . Ukisikia huu! Jua limempata.
 
Back
Top Bottom