Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Alianza Makala (Katibu wa Itikadi CCM) kutabiri "laja varangati la haja ndani ya Chadema." Na kweli utabiri huo umetimu.
Uzuri wa CCM hukutumia na wakijridhisha huna madhara-wanakutupa kama ganda la ndizi.
Sasa, kama walivyopata kutumika waliopita, ndivyo TAPELI LILILOBAINIKA/LILILOJIBAINISHA LEO nalo mwisho wake litatupwa kama jaa!
CCM ni Mafia lijapo suala la hatima ya maslahi yalo/yake. Na CCM, i-radhi kutumia vyote viwezavyo kutumiwa ili tu ivuruge chochote kimeacho ndani ya maslahi yake.
Kwa mujibu wa CCM, Dola kwao ni URINGO WA VITA NA KANUNI YAO NI MOJA-USHINDI.
NB: Hatimaye vaa miwani limejidhirisha wazi kuwa ni TAPELI LA SIASA.