Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Matapeli wako ccm, strategy yenu imefeli unajiongelesha upuuzi..watanzania wengi elimu na malezi yao ni sawa na sifuri tu!Alianza Makala (Katibu wa Itikadi CCM) kutabiri "laja varangati la haja ndani ya Chadema." Na kweli utabiri huo umetimu.
Uzuri wa CCM hukutumia na wakijridhisha huna madhara-wanakutupa kama ganda la ndizi.
Sasa, kama walivyopata kutumika waliopita, ndivyo TAPELI LILILOBAINIKA/LILILOJIBAINISHA LEO nalo mwisho wake litatupwa kama jaa!
CCM ni Mafia lijapo suala la hatima ya maslahi yalo/yake. Na CCM, i-radhi kutumia vyote viwezavyo kutumiwa ili tu ivuruge chochote kimeacho ndani ya maslahi yake.
Kwa mujibu wa CCM, Dola kwao ni URINGO WA VITA NA KANUNI YAO NI MOJA-USHINDI.
NB: Hatimaye vaa miwani limejidhirisha wazi kuwa ni TAPELI LA SIASA.
Sifuri ni wewe usiye soma japo alama za nyakati.Matapeli wako ccm, strategy yenu imefeli unajiongelesha upuuzi..watanzania wengi elimu na malezi yao ni sawa na sifuri tu!
Ndicho kifuatacho kwa Tapeli yule.Ccm na Serikali ya marekani ni mapacha wanakutumia wakimaliza haja nawe wanakuua au wana kususa.
Ndivyo ilivyo.kumbe
Mpumbavu ndio anasubiri alama za nyakati kwa makelele ya wajinga kutoelewa uongo anaoletewa..Sifuri ni wewe usiye soma japo alama za nyakati.