TiiSiiAraEi hii hii ya Bi Kizimkazi? ambayo ipo busy kufungia X ila Ikulu na Tanpol wanatumia VPN waliyoipiga marufukuHatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili swala: asilimia 30 ni nyingi sana
Apple, Visa and Mastercard win dismissal of merchant antitrust lawsuit over payment fees
Apple , Visa and Mastercard have persuaded a U.S. judge to dismiss a lawsuit accusing them of conspiring to suppress competition in the payments network market and causing merchants to pay inflated transaction fees.www.reuters.com
Oops sorry, kumbe mtandao wa X haujafungwa?siasa za upinzan zmekukolea sana mpaka vitu vya kuchangia vya kutumia akili unaweka mzaha
x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipeOops sorry, kumbe mtandao wa X haujafungwa?
wangekuwa wanawaza ki-akili kama unavyotaka wewe wasingewafungia X na kusababisha maelfu ya vijana wanaotegemea mitandao kupata ajira na kulipa kodi!
u-chawa unakusumbua!x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipe
Kumbe hujui X wana monetization inalipa.x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipe
Kumbe hata wewe ni wale wale mabozozo nilitaka nishange nzi gani wa kojani anajifanya ana akili?x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipe
Aisee kweli kabisa kwa akili yako timamu umesema hivi ?...kwanini usingeuliza kwanza? Na unamcheka jamaa alosema x wanatoka ajira. Are you for real ?x sku izi inatoa ajira 🤣 🤣 , yaani wewe unafurahia watu kchapisha conent za kipumbavu ili elon awalipe