Ni muhimu kiasi gani kwa nchi kudhibiti fedha za kigeni?

Ni muhimu kiasi gani kwa nchi kudhibiti fedha za kigeni?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Wakuu, tuliona jinsi JPM alivyofunga brueau de change ghafla na kuweka wanajeshi wakilinda. Hii ilikuwa oparesheni kubwa na ya kushtukiza. Bila shaka ilikuwa na umuhimu mkubwa sana.

Naomba kuelimishwa umuhimu wa nchi kucontrol fedha za kigeni.
 
Back
Top Bottom