Ni muhimu sana Mzee Hafidh kuambatana na mama Samia kesho nchini Kenya

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656

Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za kidiplomasia zaidi.
Uwepo wa Hafidhi utasaidia katika kufungua nchi.
 
Sura imekaa mtumiaji wa status chocolate, maana hana sigda kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…