luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Kwa maana hiyo, huyo balozi mpya alikaa kwenye siti za nzengo, maana kama angelikaa VIP si wana mlango wao wa kupita tofauti na sisi wabana matumizi?Kweli inasikitisha sana
Hapo ulipoliona la Balozi kubanwa
Ni hivi huwa hatujiandai ki protokali yaani tunaenda tu
Nakumbuka miaka ya 80 kuna balozi wetu wa nchi moja mashariki ya Kati alisafiri kama kawaida toka Dar ila alipofika nchi nyingine kukikuwa hakuna maandalizi yoyote na wao hawakumjua ni nani na kuanza kuishangaa passport yake
Halafu kiarabu hajui na wao English hawajui
Jamaa mmoja akamuuliza kuna nini akasema mimi ni Balozi mpya
Baada ya kuwaambia kiarabu wakamuambia sasa kwa nini ameshukukia hapa aende VIP LOUNGE
Ndio wakampeleka hii ni true story na ilitokea
Wenzetu wanajiandaa kwa kila kitu mpaka mapokezi yao