Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

Kwa maana hiyo, huyo balozi mpya alikaa kwenye siti za nzengo, maana kama angelikaa VIP si wana mlango wao wa kupita tofauti na sisi wabana matumizi?
 
Wabongo bana. Badala uhangaike na tozo unahangaika na viongozi hawa mabilionea wenye hela za kula wao, watoto wao, wajukuu, vilembwe mpaka vizazi hata 10 vijavyo bila kufanya kazi. Leo unahangaika eti nao wakisafiri waende na The Beast na Air Force One zao kama Biden. Mi ningependa hata wakija huku nyumbani wapande mabasi au Rav4 na siyo hii misafara ya mavieite ghali zaidi ya 80....😬😬😬
 
Viongozi wa afrika wanajulikana kwa misafara. Kiongozi mmoja gari zaidi ya 200,wewe unadhani pangetosha hapo. Wazungu ni wajanja walilijua mapema.
 
Mfaransa naye alifutikwa ndani ya abood?
 
Unamaanisha hata kama tuna shida tusijadili sio. Mkuu sio kila muda ni kujihangaisha na maisha....huoni umuhimu hata wa dakika mbili za umbea
 
wazungu bado hawaitambui Africa wanajua bado iko gizani.
Mzungu mmoja aliitukuza sana bongo akaniambia kuna muujiza unatokea BONGO eti wazungu hawaelewi marais wetu wanaachianaje kiti bila bunduki!

Wazungu wanaamini evolution bado inaendelea watu weusi babu zao nyani, ulaya mtumishi wa umma anaogopa raia, magari yanaogopa watembea kwa miguu! Tozo zinajenga nchi raia mnaona je huku kwetu kukoje?

ila coverage ya English channel BBC wanamuonesha sana Bimkubwa hadi raha, wazungu wanampenda sana Maza wetu sehemu nyingi mara nyingi nimemuona Maza, ila Marais wengine wa Afrika ni weusi sana na wengi ni madikteta, yote hayaoneshwi na BBC labda TV za kwao! mi sijaona hata dikteta mmoja!
 
Hakuna sintofahamu yoyote iliyotokea huko UK, ni ushamba tu, kukosa exposure na uelewa mdogo wa wabongo wengi.
UK ina balozi 164 wakati Tanzania ina balozi 33. Serikali ya UK HaiwezI kufuata protokali za kila nchi katika uangalizi wa mabalozi wao.
Itakuwa usumbufu mkubwa sana kwa raia wake.

Balozi wa nchi yako akiwa UK atafuata protokali za huko, atakuwa salama na atafanya kazi yake ya msingi bila bugdha, huko kujimwambafy kwingine hakuna nafasi.
 
Hakika
mkuu hao viongozi ufahari wanaouonyesha kwenye nchi zao,matumizi mabaya ya fedha za umma na umasikini uliopo huku kwenye nchi zao ni msiba mkubwa kuliko huo msiba wa huyo mmbibi.
 
Hata wa Canada na Ufaransa walipanda basi.
 
Wanangu tujitahidi kutafuta maarifa unless tutazudi kuaibika. Wewe unafikiri kuruhusu Kila mkuu wa nchi awe na convoy yake hapo London pangetosha?
Mimi nashindwa kuwaelewa hawa wanaolalamika wakati karibu Marais wote siyo tu waliotoka Africa but Asia, Europe, South America walikuwa kwenye buses. Watu wameenda kuzika hawakwenda kwenye ziara binafsi za nchi husika. Viongozi wa nchi zaidi ya 100 kila mtu awe na motorcade yake how comes????!!!!
 
kwani convoy moja ina magari mangapi?na yanachukua urefu na upana upi?argue scientifically
Scientifically? Uwezo wako mdogo, kulalamika tu Kila siku Kama vile una mtindio wa ubongo. Wenzetu wanaamini binadamu wote ni sawa. Na wameonesha Dunia ulinzi uliotukuka Kwa kuhakikisha usalama wa viongozi wote unazingatiwa.
 
Ni sisi waafrika ndio tunaocomplicate mambo kufikiri kupanda basi ni udhaifu. Tuache ujinga.
 
Kwa maana hiyo, huyo balozi mpya alikaa kwenye siti za nzengo, maana kama angelikaa VIP si wana mlango wao wa kupita tofauti na sisi wabana matumizi?
Halafu cha kushangaza alipanda economy class kama mtalii tu haha
Kwa Africa huwa tunajijua wenyewe tu

Usishangae hata kwenye Bus lile waliomba maji na korosho
 
Yaani waongeze tozo ili msafara wa rais uende ziara na magari yake kama ulivyo Msafara wa rais wa marekani wanaobeba na magari Yao?
Duh ! Ikiwa hivyo tutaisha kabisaaa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…